Tetesi: Ndoa nyingine ya lopolopo yavunjika

Tetesi: Ndoa nyingine ya lopolopo yavunjika

tozi zee

Member
Joined
Sep 14, 2021
Posts
20
Reaction score
73
Kwa waliokuwa majirani zake enzi hizo hawatashangaa sana maana hata yule mke wa mwingine kipindi hicho jamaa akiwa choka mbaya sana alikuwa anamvurumishia makonde na matusi mazitomazito juu yake.

Hata baada ya simba kumpa maisha na connections na standard ya maisha ku improve bado dada alikaza kudai talaka akaenda kuolewa kwenye amani

Sasa majuzi tena lopolopo likaoa kwa mbwembwe hadi kwenye tv issue ikaruka live na gari likatolewa na wauza magodoro kam asehemu ya shukrani ya usaliti SASA ZA NDANINDANI ZASEMA KWAMBA BIBIYE KABWAGA MANYANGA, JAMAA LINAPIGA NGUMI KAMA MWAKINYOOO HUKU LIKIMSUTA

KAAGA KARUDI KWAO AISJE KUFIA MIKONONI MWA LOPOLOPO
 
Sawa
Kosea Kuoa/Kuolewa Maana Mtaachana
Ukikosea Kuchagua Ni Mpaka Miaka Mitano
Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua
By Jiwe
 
Huenda ulikuwa na maana fulani but ulivyoingiza chembechembe za ushabiki ukaaribu bandiko lako fasta.
 
Back
Top Bottom