Tetesi: Putin aikimbia Moscow

Tetesi: Putin aikimbia Moscow

Huu uzi bado upo tu haujafungwa kwa aibu[emoji23][emoji23]

Upo na uendelee kuwepo kama kumbukumbu la aibu ya Putin kuharishwa na kakundi kake hadi akakimbia ikulu, kilichomsaidia ni rais wa Belarus kuingilia kati na kubembeleza Wagner.
 
Kwa ule Mziki hawezi kubaki Moscow atakua yupo kwenye mitaro huko kajichimbia...
 
Hili jamaa Putin ni joga sana/very coward .Mwenzake Zenensky mbona alibaki Kyv wakati Russia wanataka kuivamia?!!![emoji23]
Putin ana watu wengi sana aliowafanyia ukatili, wakipata fursa kama hii ya Wagner iliyokuwa inaenda kutokea watamgawana.
 
Michezo ya kivita unaijulia wapi wewe kijana, wakati panya road tu wanakutoa jasho
Angalia mchezo waliochezewa Ukraine kwamba Wagner group wanakimbia mji Ukraine wakaingia kichwa kichwa walichofanyiwa hawatosahau..
Walivyochezea Allepo Syria ndivyo wanavyochezea Ukraine
 
Hizi ni tetesi tu zisizo na uhakika wala uthibitisho wowote!
Nakumbuka 9/11,Osama ambaye alikuwa Bara lingine kabisa mbali na USA alisababisha Bush aikimbie ikulu na kupandishwa Airforce 1 na kukimbizwa angani kujificha!😂
Kuna mtu atapinga!!!

“Flying on Air Force One, we were so far removed from what was going on, the danger on the ground, and there was so little information, clear information coming in to us,” Ann Compton, an ABC News White House correspondent who was on board the president’s Boeing 747 on 9/11, told HISTORY.

David Wilkinson, a Secret Service agent who traveled with the president on 9/11, recalled to HISTORY, “I could tell you one thing emphatically, and that is: No one knew what was going on.”

While the Secret Service believed the safest place for the president was in the skies on Air Force One, they were also constantly reacting to reports of perceived threats.
 
Hehehe austadhi ulikua umejificha wapi naona ghafla mumeibuka na kuwa na sauti.
Get lost, nani ustadhi hapa - ujinga wako wa kikabila na kidini pelekeni nchini mwenu Kenya - Tanzania hatuna tatizo kama hilo kama unafikiri unaweza ku-instigate vices zako ovyo Nchini mwetu "you are dead wrong" tutaendelea kuwapatia mahindi na unga ili msife njaa.
 
Hehehe hasira zote hizi za nini mvaa kobaz, Putin alikua ameshikwa pabaya na kama sio Belarus angeliwa kichwa.....
 
Anguko la Putin lingekua msiba mkubwa kwa rais wa Belarus, ndio ikambidi abembeleze sana.
Ambembeleze nani, wewe ulikupo?? Yaani hata kwa akili za kawaida wanajeshi/mamluki 250,000 wanaweza kuangusha jeshi la Urusi lenye wanajeshi 1.5 million +, analytical minds zenu wakati mwingine sijui mnazifungiaga kabatini.

FYI linapokuja suala la kulinda Taifa la Urusi dhidi ya mabeberu, inapofikia hapo taifa zima wanaungana nakuwa kitu kimoja - wanao zungumzia masuala ya Mapinduzi sijui nini ni MSM za magharibi watu kama nyinyi ma wishful thinkers wanao poteza muda wao mwingi kuitakia mabaya Urusi - Uzuri ni kwamba hamtaweza kufanikawa hata siku moja, hizo zitabaki ni ndoto za mchana, je, mara hii mnajifanya kusahau jinsi Urusi ilivyo wahi kuwashinda maadui wao wakubwa na hatari kama akina:-

Adolf Hitler,Napoleon Bonaparte, Alexander the Great etc, sasa nyie ndio mjifanye mna mbinu mpya ya kuwashinda Warusi kweli?
 
Ambembeleze nani, wewe ulikupo?? Yaani hata kwa akili zakawaida wanajeshi/mamluki wanaweza kuangusha jeshi la Urusi lenye wanajeshi 1.5 million +, analytical minds zenu wakati mwingine sijui mnazifungia kabatini - FYI linapokuja suala la kulinda Taifa la Urusi dhidi ya mabeberu, inapofikia hapo taifa zima wanaungana nakuwa kitu kimoja - wanao zungumzia masuala ya Mapinduzi sijui nini ni MSM za magharibi watu kama nyinyi ma wishful thinkers wanao poteza muda wao mwingi kuitakia mabaya Urusi - Uzuri ni kwamba hamtaweza kufanika hata siku moja - walishindwa akina:-

Adolf Hitler,Napoleon Bonaparte, Alexander the Great etc nyinyi ndio mjifanye mtawaweza Warusi kweli?

Hehehe liinsha lote hili ungeliandika hiyo siku Putin alikua anaharisha, sasa umepata ujasiri wa kuchomoza kichwa na kuandika andika....
 
Bush alikuwa Florida na watoto wa shule ya msingi 9/11.
Tunga uongo mwingine.
Hizi ni tetesi tu zisizo na uhakika wala uthibitisho wowote!
Nakumbuka 9/11,Osama ambaye alikuwa Bara lingine kabisa mbali na USA alisababisha Bush aikimbie ikulu na kupandishwa Airforce 1 na kukimbizwa angani kujificha![emoji23]
Kuna mtu atapinga!!!

“Flying on Air Force One, we were so far removed from what was going on, the danger on the ground, and there was so little information, clear information coming in to us,” Ann Compton, an ABC News White House correspondent who was on board the president’s Boeing 747 on 9/11, told HISTORY.

David Wilkinson, a Secret Service agent who traveled with the president on 9/11, recalled to HISTORY, “I could tell you one thing emphatically, and that is: No one knew what was going on.”

While the Secret Service believed the safest place for the president was in the skies on Air Force One, they were also constantly reacting to reports of perceived threats.
 
Wewe kweli kilaza wa kiwango cha lami, unafikiri mapinduzi ni wingi wa wanajeshi na mapigano?!
Hata kama ukiwa na wanajeshi billion 1, watu smart 10 tu wakijapanga vizuri wanakuondoa hata bila risasi kurushwa.
Sijui hata kama umewahi kusikia kitu kinaitwa "Palace coup".
Ambembeleze nani, wewe ulikupo?? Yaani hata kwa akili za kawaida wanajeshi/mamluki 250,000 wanaweza kuangusha jeshi la Urusi lenye wanajeshi 1.5 million +, analytical minds zenu wakati mwingine sijui mnazifungiaga kabatini.

FYI linapokuja suala la kulinda Taifa la Urusi dhidi ya mabeberu, inapofikia hapo taifa zima wanaungana nakuwa kitu kimoja - wanao zungumzia masuala ya Mapinduzi sijui nini ni MSM za magharibi watu kama nyinyi ma wishful thinkers wanao poteza muda wao mwingi kuitakia mabaya Urusi - Uzuri ni kwamba hamtaweza kufanikawa hata siku moja, hizo zitabaki ni ndoto za mchana, je, mara hii mnajifanya kusahau jinsi Urusi ilivyo wahi kuwashinda maadui wao wakubwa na hatari kama akina:-

Adolf Hitler,Napoleon Bonaparte, Alexander the Great etc, sasa nyie ndio mjifanye mna mbinu mpya ya kuwashinda Warusi kweli?
 
Ambembeleze nani, wewe ulikupo?? Yaani hata kwa akili za kawaida wanajeshi/mamluki 250,000 wanaweza kuangusha jeshi la Urusi lenye wanajeshi 1.5 million +, analytical minds zenu wakati mwingine sijui mnazifungiaga kabatini.

FYI linapokuja suala la kulinda Taifa la Urusi dhidi ya mabeberu, inapofikia hapo taifa zima wanaungana nakuwa kitu kimoja - wanao zungumzia masuala ya Mapinduzi sijui nini ni MSM za magharibi watu kama nyinyi ma wishful thinkers wanao poteza muda wao mwingi kuitakia mabaya Urusi - Uzuri ni kwamba hamtaweza kufanikawa hata siku moja, hizo zitabaki ni ndoto za mchana, je, mara hii mnajifanya kusahau jinsi Urusi ilivyo wahi kuwashinda maadui wao wakubwa na hatari kama akina:-

Adolf Hitler,Napoleon Bonaparte, Alexander the Great etc, sasa nyie ndio mjifanye mna mbinu mpya ya kuwashinda Warusi kweli?
Si ilivunji 1991 au umesahau. Na ndio chanzo cha hii vita, Putin kwa akili zake anadhani anaweza irudisha USSR
 
Back
Top Bottom