Tetesi: Safari ya rais wa Burundi Kinshaza, yazua gumzo

Tetesi: Safari ya rais wa Burundi Kinshaza, yazua gumzo

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
350
Reaction score
576
Rais wa Burundi, Mhe Evariste NDAYISHIMIYE, alifunga safari kisiri siri na kwenda Kinshasa.
Kinshasa huko, alikutana na Rais wa DRC, Tshisekedi, na dhumuni la safari likiwa kudai deni la serikali ya Burundi.

Inasemekana, kila mwanajeshi wa Burundi alitakiwa kulipwa dolla za kimarekani elfu 5 kwa mwezi. Kazi ya jeshi la Burundi, ilikuwa kuhakikisha kundi la AFC/M23 halizidi nguvu jeshi la serikali. Zaidi ya miaka miwili sasa, jitihada zao zote ziligonga mwamba. Huku wengi wakipoteza maisha, wengine wakiishia kufungwa jera, kifungo cha maisha, serikali ya Burundi ilidai makubaliano hayajatekelezwa, kwa sababu mamluki kutoka ulaya, wao walilipwa pesa zao zote, huku Burundi ikiahidiwa kulipwa, na mpaka sasa hakuna malipo yoyote yaliyofanyika.

Kwa mjibu wa vyanzo vya habari, rais wa DRC, amesema hawezi kulipa kwa sababu jeshi la Burundi lilishindwa kutekeleza majukumu yake, ambayo ni kulinda Kivu Kusini na Kaskazini dhidi ya M23.
 
Kumeanza kuchangamka pole pole pamoja na mawingu mazito angani na upepo mkali ziwa Tanganyika
 
Yule sio rais ni bwege mmoja alopata nafas ya kuiongoza DRC sasa wanakwenda kumpindua
 
Wale mamluki waliweza kulipwa pesa nzuri, ila askari wa kukodiwa kutoka Burundi serikali ya Kinshasa inashindwa kuwalipa vizuri.

Je kuna uasi ndani ya Jeshi la Burundi baada ya kusikia na kuona wale mamluki wakitoa siri ya kambi wakati wakiandaliwa usafiri salama kupitia Kigali baada ya kusalimu amri mbele ya M23

Jenerali Evariste NDAYISHIMIYE aliangalie jambo hili kwa umakini na yeye atakuwepo katika mkumbo wa kufurushwa aende nyumbani baada ya jeshi kuasi.

TOKA MAKTABA :

29 January 2025
Rubavu, Rwanda

LIVE - Wakimbizi Zaidi, mamluki wa Kiromania (Romania) kutoka DRC Wajisalimisha kwa MONUSCO, wapata Njia Salama kuingia Rwanda

View: https://m.youtube.com/watch?v=TJrZNN7nF-E

Mamluki hao wa Romania walidaiwa kuajiriwa na Horațiu Potra, mshirika wa mwanasiasa anayeunga mkono Urusi Călin Georgescu, na kutumwa Goma kuanzisha udhibiti wa serikali, kulingana na PressOne. Potra, ambaye alikabiliwa na matatizo ya kisheria nchini Romania baada ya kushutumiwa kwa kupanga kuchochea maandamano na kukiuka sheria kuhusu silaha na risasi, awali alithibitisha kwamba alianzisha ulinzi kwa Georgescu kwa msaada wa mamluki wa zamani waliokuwa wakifanya kazi nchini Kongo.

Wizara ya Mambo ya Nje ya Romania (MAE) ilitoa taarifa kwa vyombo vya habari ikithibitisha kwamba kundi la raia wa Romania limekwama kaskazini mwa Kongo huku kukiwa na mashambulizi makubwa ya kundi la waasi la M23.

Raia hao wa Romania, wanaoripotiwa kuwa mamluki waliopewa kandarasi na serikali, wako katika mji wa Goma, katika jimbo la Kivu Kaskazini katika nchi hiyo ya Afrika, kwenye mpaka wa Rwanda na Uganda. M23 inaungwa mkono na Rwanda, ambayo sasa imepeleka jeshi lake kwenye mpaka na Kongo.

Siku ya Jumatatu asubuhi, wafanyakazi wa MONUSCO na familia zao walihamishwa kuvuka mpaka hadi Rwanda. Takriban wanajeshi 14,000 wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wako chini, na wengi walijeruhiwa, kulingana na Euronews.

Mapigano yamekuwa yakiendelea nchini Kongo tangu mauaji ya halaiki ya Rwanda mwaka 1994, ambayo yameenea katika nchi jirani huku makundi yanayoongozwa na Watutsi yakipambana na Wahutu. Kuna takriban vikundi 100 vyenye silaha nchini Kongo, kando na M23.

Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wanaripoti kuwa Rwanda imepeleka wanajeshi 3,000-4,000 na kutoa nguvu kubwa ya moto, ikiwa ni pamoja na maroketi na wadunguaji, kusaidia M23, ambayo inadai kuwatetea Watutsi nchini Kongo. Kwa kujibu, Kongo imekata uhusiano wake wa kidiplomasia na Rwanda.

27 January 2025
Bucharest, Romania

congo_war_sjankauskas_dreamstime.com_.jpg

27 January 2025
Radu Dumitrescu
Romania’s Ministry of Foreign Affairs (MAE) issued a press release confirming that a group of Romanian citizens is stranded in north Congo amid a major offensive by rebel group M23.
The Romanians, reportedly mercenaries contracted by the government, are in the city of Goma, in the North Kivu province of the African country, right on the border with Rwanda and Uganda. M23 has the backing of Rwanda, which has now deployed its army on the border with Congo.

The Romanian mercenaries were allegedly employed by Horațiu Potra, an associate of pro-Russian politician Călin Georgescu, and sent to Goma to establish government control, according to PressOne. Potra, who faced legal troubles in Romania after he was accused of planning to incite protests and violating the rules regarding weapons and ammunition, previously confirmed that he established security for Georgescu with the help of former mercenaries who worked in Congo.

The Ministry of Foreign Affairs does not confirm the identity or number of those stranded. “Requests for consular assistance have been received from their families. The long-standing conflict in the North Kivu region is evolving dynamically and unpredictably.

The current situation on the ground is extremely volatile and dangerous,” the press release states.

MAE has issued a travel advisory for the area and assures that it is in constant contact with civilian and military UN bodies, as well as with those in the Democratic Republic of Congo, Uganda, and Rwanda.

On Monday, January 27, gunfire was heard in Goma, with the rebels declaring that they had captured the city. Thousands of people fled as the rebels advanced in the mineral-rich area of Congo.

The rebels ordered government soldiers to surrender by Monday at 3 AM local time, and 100 Congolese soldiers handed over their weapons to Uruguayan troops from the UN peacekeeping mission in Congo (MONUSCO), according to Uruguay's military.

On Monday morning, MONUSCO staff and their families were evacuated across the border to Rwanda. About 14,000 UN peacekeepers are on the ground, and multiple were injured, according to Euronews.

Fighting has been ongoing in Congo since the 1994 Rwandan genocide, which has spread across the neighboring countries as Tutsi-led groups clashed with Hutus. There are around 100 armed groups in Congo, aside from M23.

UN experts report that Rwanda has deployed 3,000–4,000 soldiers and provided significant firepower, including rockets and snipers, to support M23, which claims to defend Tutsis in Congo. In response, Congo has severed its diplomatic ties with Rwanda

29 August 2024
Around 1,000 former Romanian soldiers are supporting the government of the Democratic Republic of Congo in its fight against rebels in the east of the country. Romanian security agents are in Goma training the Congolese army. So far, 4 Romanians have been killed in the fighting with the rebels

View: https://m.youtube.com/watch?v=mzdxo31ilIY
 
Mbona kuna fununu kuwa rais wa Burundi kapewa migodi miwili ya Coltan?!
Wapi huko? Na ataiendeleza kupitia wapi? Na amepewa na nani? Pamoja na vita,nchi ni ya wenyewe siyo ya mwenyewe. Mwenye kugawa hiyo migodi ni nani? Kwa njia ipi? Ungeuliza labda wenye migodi hatma yake itakuwaje!!!
 
Si nimesikia hata kuna Mtu kanyang'anywa Migodi baada ya kuitwa Kinshasa na kufungwa bila kupitishwa Mahakamani.
 
Si nimesikia hata kuna Mtu kanyang'anywa Migodi baada ya kuitwa Kinshasa na kufungwa bila kupitishwa Mahakamani.
Kosa lake lilikuwa ni kuwa na asiri ya wa nyarwanda na alikuwa na kazi serikalini.
 
Rais wa Burundi, Mhe Evariste NDAYISHIMIYE, alifunga safari kisiri siri na kwenda Kinshasa.
Kinshasa huko, alikutana na Rais wa DRC, Tshisekedi, na dhumuni la safari likiwa kudai deni la serikali ya Burundi.

Inasemekana, kila mwanajeshi wa Burundi alitakiwa kulipwa dolla za kimarekani elfu 5 kwa mwezi. Kazi ya jeshi la Burundi, ilikuwa kuhakikisha kundi la AFC/M23 halizidi nguvu jeshi la serikali. Zaidi ya miaka miwili sasa, jitihada zao zote ziligonga mwamba. Huku wengi wakipoteza maisha, wengine wakiishia kufungwa jera, kifungo cha maisha, serikali ya Burundi ilidai makubaliano hayajatekelezwa, kwa sababu mamluki kutoka ulaya, wao walilipwa pesa zao zote, huku Burundi ikiahidiwa kulipwa, na mpaka sasa hakuna malipo yoyote yaliyofanyika.

Kwa mjibu wa vyanzo vya habari, rais wa DRC, amesema hawezi kulipa kwa sababu jeshi la Burundi lilishindwa kutekeleza majukumu yake, ambayo ni kulinda Kivu Kusini na Kaskazini dhidi ya M23.
WAkati wanajeshi wa drc nilisikia bbc kuwa wanalipwa $82 kwa mwezi.
 
Ni kweli alipewa mgodi wa Rubaya ili awe anajilipa,M23 wakaja wakakiwasha aka kimbia na kupoteza wanajeshi wengi na wengine wakasambaratika kueelekea Burundi. Ata iliwa ni mimi siwezi mlipa,amepewa akashindwa kulinda hilo enjoy.
Sasa alikuwa anamchimba mkwara Kagame wakati Askari wake hawawezi hata kuulinda Mgodi wa Raisi wao unatekwa na M23 ambao sasa wameungana na RED TABARA😆😆😁
 
Hivi Mama Samia na yeye hajapewa Mgodi huko DRC.
 
Huyu rais wa Kongo ni kichwa maji aisee badala eendee Tanzania kutafuta msaada yeye anaenda burundi
 
Rais wa Burundi, Mhe.Evariste NDAYISHIMIYE Jenerali mstaafu akiongoza ngoma maarufu ya nchini Burundi ..
View: https://m.youtube.com/watch?v=Dg2FHtoBgZA

Mitandao mbalimbali ya kijamii ya ofisi ya Rais wa #Burundi imechapisha video na picha za Rais Evariste Ndayishimiye akicheza ngoma na wapiga ngoma wa #Gishora katika wilaya ya #Giheta mkoani #Gitega , ambako ndiko asili ya Rais #Evariste_Ndayishimiye . Ilikuwa #Gishora ndipo utawala wa kifalme wa Burundi ulianza. Katika ukurasa wa #Twitter wa Ofisi ya Rais wa #Burundi , Ntare Rushatsi House, @NtareHouse, katika kuchapisha picha na video hizi, ilisema Rais Ndayishimiye amekuwa mpenzi wa ngoma tangu akiwa mdogo. Una maoni gani kuhusu picha hizi za Rais wa Burundi akicheza, akionyesha ishara na kucheza ngoma?
Source : VOA
 
MSIKILIZE RAIS ANAVYOKEREKA :

Rais Evariste Ndayishimiye aking'aka HAKUNA NCHI ngumu kutawala kama Burundi /Mabilioni unayotumia na usirudishe/ Wezi ndio hao

View: https://m.youtube.com/watch?v=ddVqXt9MLc0

Comments za raia baada ya kumtazama mh. Rais :

1. Rais wetu anaongea sana lakini anatekeleza kidogo, nguvu kubwa inahitajika dhidi ya mafisadi

2. Sababu ni kwamba watakuuwa au niwafanyie maamuzi kwa kuwa huna haki, hivi usipowaadhibu nani atawaadhibu?? Unajua kujirusha kama mbuzi?? Tuko nyuma na tuna watu wenye akili namuunga mkono kiongozi wetu ila wakati mwingine hana pa kuongea..
 
Rais wa Burundi, Mhe Evariste NDAYISHIMIYE, alifunga safari kisiri siri na kwenda Kinshasa.
Kinshasa huko, alikutana na Rais wa DRC, Tshisekedi, na dhumuni la safari likiwa kudai deni la serikali ya Burundi.

Inasemekana, kila mwanajeshi wa Burundi alitakiwa kulipwa dolla za kimarekani elfu 5 kwa mwezi. Kazi ya jeshi la Burundi, ilikuwa kuhakikisha kundi la AFC/M23 halizidi nguvu jeshi la serikali. Zaidi ya miaka miwili sasa, jitihada zao zote ziligonga mwamba. Huku wengi wakipoteza maisha, wengine wakiishia kufungwa jera, kifungo cha maisha, serikali ya Burundi ilidai makubaliano hayajatekelezwa, kwa sababu mamluki kutoka ulaya, wao walilipwa pesa zao zote, huku Burundi ikiahidiwa kulipwa, na mpaka sasa hakuna malipo yoyote yaliyofanyika.

Kwa mjibu wa vyanzo vya habari, rais wa DRC, amesema hawezi kulipa kwa sababu jeshi la Burundi lilishindwa kutekeleza majukumu yake, ambayo ni kulinda Kivu Kusini na Kaskazini dhidi ya M23.
Uongo mtupu
 
Back
Top Bottom