Tetesi: Samatta anaweza kuuzwa na Aston Villa muda wowote kuanzia sasa

Kwanza hiyo Aston Villa yenyewe kila wakati nilikuwa naichanganya na Everton!
Everton tena? umetisha mkuu..bora hata West ham kidogo....wanafanana karangi cha jezi.
 
Asikubali kwenda popote aisee. Abaki hapohapo Wingereza ale maisha, yaani asikubali ujinga kabisa. Eti wanataka kumuuza Uturuki, wangekua wao wangekubali!? Samatta asikubali kabisa huo ujinga. Yaani huu ndio wakati wa Samatta kuwaonesha hao wajinga wa Aston Villa kuwa Wabongo sio watu wa mchezomchezo.
Wabongo wenzio tupo nyuma yako, ngoja twende tukavamie account zao za Instagram na Twitter ili wajue kuwa sisi hatupendi utani!!!
 
😂😂😂hivi umesoma kweli kitu ulicho kiandika 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Back
Top Bottom