mh hivi hiz i kampuni za simu hapa bongo zinaichezea shere TIC mara celtel ikaja zain sasa sijui nn halafu tena sasatel imeuzwa hawa ndio wawekezaji wanokuja kujaribu soko la Tanzania hawa Brella wanafanya upembuzi wa kina kweli kabla ya kuialika kampuni kuwekeza hapa Tanzania?