Tetesi.....sasatel yauzwa kwa mwekezaji kutoka south africa

Tetesi.....sasatel yauzwa kwa mwekezaji kutoka south africa

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Posts
21,605
Reaction score
6,092
Kuna tetesi kuwa kampuni ya simu ya SASATEL imeuzwa kwa mwekezaji kutoka South Africa na tayari management kutoka South Africa imeishaanza kufanya kazi mwenye habari zaidi za uhakika kama anazo anaweza kutuhabarisha pia.
 
Hizo habari ni za kweli na ninasikia watapunguza wafanyakazi wa kibongo 150 ili wabakie 50 tu..kwa hiyo tutegemee vijana wetu kufyatuliwa very soon..hii ndiyo bongo bwaaaaaanaaaa
 
mh hivi hiz i kampuni za simu hapa bongo zinaichezea shere TIC mara celtel ikaja zain sasa sijui nn halafu tena sasatel imeuzwa hawa ndio wawekezaji wanokuja kujaribu soko la Tanzania hawa Brella wanafanya upembuzi wa kina kweli kabla ya kuialika kampuni kuwekeza hapa Tanzania?
 
Wameshavuna vya kutosha sasa wanawapa kijiti wengine nao wavune
 
Kampuni haijauzwa.

Wawekezaji wakuu (Majority Shareholders and Investors) ni PME Infrastructure.

Wamehamishia Makao Makuu yao kutoka Uingereza kwenda Afrika Kusini. Ita wasaidia kuwa karibu na nchi (Burundi, Tanzania, Uganda , Mauritius) walizowekeza fedha.

Unaweza angalia Portfolio ya uwekezaji wao: Portfolio

B.P (2010)
 
Back
Top Bottom