Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,986
Wanabodi:
Kuna tetesi kwambaYanga wamempiga bei Pah Sherman
kwa dau la dollar 100,000.
Habari zinabainisha kwamba Sherman tayari yuko ndani ya Madagascar kwa sasa ktk kukamilisha baadhi ya mambo.
Kama kuna mwenye taarifa rasmi atujuze maana hizi zangu bado ni tetesi.