Tetesi-:Sherman apigwa bei Madagascar kwa $100,000!!!!

Tetesi-:Sherman apigwa bei Madagascar kwa $100,000!!!!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Wanabodi:
Kuna tetesi kwambaYanga wamempiga bei Pah Sherman
kwa dau la dollar 100,000.
Habari zinabainisha kwamba Sherman tayari yuko ndani ya Madagascar kwa sasa ktk kukamilisha baadhi ya mambo.
Kama kuna mwenye taarifa rasmi atujuze maana hizi zangu bado ni tetesi.
 
Source ya tetesi yako hii ni nini???
 
Jamaa anajua,lakini bongo soka fitna ataua kupaji,kama ni kweli amefanya uamuzi sahihi..
 
aende tu azipishe sura zingine za akina Ngoma.
 
Back
Top Bottom