Tetesi: shilole anaolewa Leo hii lakini ndugu zake wanataka kukinukisha

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Mambo niaje,

Leo katika sakasaka mitaa ya Kijitonyama kwa Alimaua nikaambiwa kuna mahali inafanyika harusi rasmi ya shishi na dia wake uchebe nikadhan kuna pilau. Kufika pale nimekutana na ndugu wa shishi wamechachamaa kwanini ndugu yao anaolewa na uchebe na wamemtishia sheikh anaeenda kuwafungisha ndoa kuwa watampiga.

Mtaa mzima wao ndo wanatamba, sasa sijui kama kweli hyo harusi itafanyika pia wanammaind ndugu yao shishi kwanini kawafakuza.

*****************************
Updates,
Ndoa ilifungwa kama kawaida
 
Wapuuzi kabisa, kama vile nawo watashiriki yatakayofanyika kwenye zile kuta nne!
Hao ndugu ndoa ya Shilole haiwahusu, wanatakiwa kupewa Taarifa tu, wahudhurie au la shauri yao, ndugu tunapenda sana kuingilia mapenzi ya wenzetu, shame on us...
 
ndugu hawamtaki ila Shilole kakolea na show za North Korea za uchebe hongera broooh, unamsugua nyamwezi kama huna akili timamu. haya mambo ni hatari we ndugu kuwa observer tu.
 
Dizaini kama hivi karibuni kwa shishi kuna ndugu zake wawili na beki tatu walifukuzwa kisa hawataki kumheshimu na kumchyukulia Uchebe kama Baba mwenye nyumba. Sasa baada ya hao ndugu kutimuliwa leo ndio wamekuja rasmi kusuluhishwa lakini ikasihia kua ugomvi mkubwa.

Amekuja mpaka "Mama" wa Shilole kusuluhisha lakini imeshindikana na katika Valangati hilo ndugu mmojawapo akaishia kuondoka na Simu ya Shilole ili kumkomoa. Wageni tuliofuata pilau tumeishia kusikilizia tu Ugomvi na makelele.
 
Tangu lini ndugu wakampangia mtu mzima aoe/kuolewa na nani??
Ndugu wanadai Shilole amewatupa toka ampate Uchebe na Hata kutimuliwa kwao Nyumbani kwa Shishi kuna mkono wa Uchebe. Pia Wanadai Uchebe anamchuna ndugu yao hivyo Shilole badala ya kuwasaidia wao, ye anamhonga Uchebe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…