Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Mambo niaje,
Leo katika sakasaka mitaa ya Kijitonyama kwa Alimaua nikaambiwa kuna mahali inafanyika harusi rasmi ya shishi na dia wake uchebe nikadhan kuna pilau. Kufika pale nimekutana na ndugu wa shishi wamechachamaa kwanini ndugu yao anaolewa na uchebe na wamemtishia sheikh anaeenda kuwafungisha ndoa kuwa watampiga.
Mtaa mzima wao ndo wanatamba, sasa sijui kama kweli hyo harusi itafanyika pia wanammaind ndugu yao shishi kwanini kawafakuza.
*****************************
Updates,
Ndoa ilifungwa kama kawaida