brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Tetesi na habari zilizo chini ya kapeti katika klabu ya Simba inaelezwa kuwa Simba ipo kwenye mpango wa kufanya usajili wa kushtukiza ulimwengu na soka la Tanzania kwa kumsajili mchezaji wake zamani wa Arsenal na Galatasalay ya uturuki ili kuongeA nguvu katika ligi ya Mabingwa Africa.
Ikumbukwe Simba wana nafasi ya kusajili wachezaji kwa ajili ya michuano ya klabu bingwa ya Africa katika hatua hii ya makundi.
Eboue anaemudu kucheza nafasi ya beki namba 2 au winga namba 7 kwa Sasa Ni mchezaji huru akifanya mazoezi binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app