Tetesi: Simba kumsajili Emmanuel Eboue

Tetesi: Simba kumsajili Emmanuel Eboue

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Tetesi na habari zilizo chini ya kapeti katika klabu ya Simba inaelezwa kuwa Simba ipo kwenye mpango wa kufanya usajili wa kushtukiza ulimwengu na soka la Tanzania kwa kumsajili mchezaji wake zamani wa Arsenal na Galatasalay ya uturuki ili kuongeA nguvu katika ligi ya Mabingwa Africa.
Ikumbukwe Simba wana nafasi ya kusajili wachezaji kwa ajili ya michuano ya klabu bingwa ya Africa katika hatua hii ya makundi.
Eboue anaemudu kucheza nafasi ya beki namba 2 au winga namba 7 kwa Sasa Ni mchezaji huru akifanya mazoezi binafsi
images.jpeg
images%20(1).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 998235View attachment 998236

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kwa sababu jamaa is broke. Very interesting
 
Hili Jambo Kama ni kweli itakua vizuri Sana kwani Simba na TPL kwa ujumla itakua imejitangaza kwani hi habari itaandikwa dunia nzima hii itasababisaha wanamichezo wote duniani kutaka kujua Simba ni timu gani na ina nguvu kiasi gani kwaio umaarufu wa Simba utakua mkubwa ulimwenguni...jamaa aje kwani sahivi anaandikwa katika negative way kutokana na kufirisika kwake kwaio watu wanaotaka kujua habari zake watamfatilia akiwa simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom