Tetesi: Simba SC kutumia New Amaan Stadium

Tetesi: Simba SC kutumia New Amaan Stadium

Simba imekaa kinyonge sana wakati mwingine. Hivi pamoja na kujipendekeza kote kwa wanasiasa, viongozi wameshindwa kushawishi mamlaka husika ili Simba iendelee kutumia uwanja wa Mkapa hata kipindi cha marekebisho hadi inatangatanga kama chokoraa?
Ule ni uwanja wa timu zote, haiwezekani ruhusa itolewe kwa timu moja.
 
Ule ni uwanja wa timu zote, haiwezekani ruhusa itolewe kwa timu moja.
Sasa kwani wengine wamesema wana shida? Yaani kuomba niombe mimi ruhusa itolete kwa wote?

Mwenye shida aende kuomba na atasikilizwa kulingana na mahitaji yake hapo ukubwa na ushawishi wa muombaji ndiyo utaamua apewe au asipewe. Kwani unadhani iliwezekanaje Yanga kutumia uwanja wa Mkapa kwenye mechi ya ligi wakati AFL ilikuwa haijaisha?

Imefika wakati Simba haina tofauti na KMC au Mtibwa tu ndiyo maana mnapata ujasiri wa kuzitaja timu hizo na kuzilinganisha na Simba.
 
kwa ratiba ya kila baada ya siku 3 game kweli watweza kwenda zanzibar?
ni uamuzi wa kipuuzi sana!
 
Leo ni tarehe 29, mechi ya Simba ni tarehe 31 lakini mpaka sasa Simba hawajatangaza uwanja watakaotumia. Sasa sijui wapinzani wao waeleweje.
 
wanaojiita wawekezaji wa ivi vilabu ni wakati wa kufanya jitihada timu ziwe na viwanja vyao.
 
Tff wakijichanganya tu, wata anzisha mgogoro wa kikanuni maana Kuna timu zitagoma kucheza Zanzibar na zitakua sahihi.
 
Back
Top Bottom