Ule ni uwanja wa timu zote, haiwezekani ruhusa itolewe kwa timu moja.Simba imekaa kinyonge sana wakati mwingine. Hivi pamoja na kujipendekeza kote kwa wanasiasa, viongozi wameshindwa kushawishi mamlaka husika ili Simba iendelee kutumia uwanja wa Mkapa hata kipindi cha marekebisho hadi inatangatanga kama chokoraa?
Sasa kwani wengine wamesema wana shida? Yaani kuomba niombe mimi ruhusa itolete kwa wote?Ule ni uwanja wa timu zote, haiwezekani ruhusa itolewe kwa timu moja.