Tetesi: There's something cooking

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762
There's something cooking. Yawezekana ni muendelezo wa Alikiba kukaa vitu vilivyofutwa vumbi na Dangote Mr. Diamond Platinumz. Eti kaka Alikiba kaambiwa akikaa viti hivi na yeye nyota yake itang'aa kama ya Dangote.

 
Yani hata sielewi!!! What is this???
 
Aiseeee .....hakika mla mla leo ..mla jana kala nini?,,,,,
 
Ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno
 
Duuuh umeshituka na kirambasi kimekuinuka au umeona wivu kibamia cha bwana ako nimekiona? Usiwe na wasi yule kiba futa vumbi mm ni Daktari nilimtolea govi juzijuzi alipotaka kwenda south afrika kwenda kutoa video ya mwana kwani hairuhusiwi kwenda na govi nchi za watu
 



daktari wa wapi?
 
Mtoa mada si una maana Ali Kei anapita mulemule alipopita Chibu ili nyota yake na yeye ing'ae km Chibu au nimeelewa vibaya mtoa mada?
😀😀 😀😀 😀😀 😀
 
Mtoa mada si una maana Ali Kei anapita mulemule alipopita Chibu ili nyota yake na yeye ing'ae km Chibu au nimeelewa vibaya mtoa mada?
   

Kwa mtazamo wake Ali Kei anadhani nyota ya Diamond imeng'aa kutokana na mahusiano na hao wadada, hivyo nae kaamua kupita humo humo ili ajaribu bahati yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…