Tetesi: There's something cooking

Tetesi: There's something cooking

Mi naona mleta mada ndio huelewi hapo Ali k alipita kabla ya dai na tukija kwa wema ni hivyo hivyo tena kwa wema kuna mahali dai na kiba walikuwa wanakuja pamoja ila ni sili yangu
 
Duuuh umeshituka na kirambasi kimekuinuka au umeona wivu kibamia cha bwana ako nimekiona? Usiwe na wasi yule kiba futa vumbi mm ni Daktari nilimtolea govi juzijuzi alipotaka kwenda south afrika kwenda kutoa video ya mwana kwani hairuhusiwi kwenda na govi nchi za watu

Daktari wa kushikwa kiuno?
 
Kei bhana badala ya kuangalia ni namna gani apige kazi ye kaamua .................... hapa ndipo ilipo tofauti ya huyu jamaa na Dangote
 
Makombo on the work......
Makombo plus

Makombo plus...
 
Back
Top Bottom