Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Ni tetesi sio habari ya uhakika
Wazee na viongozi wa simba wamemfuata dewji na kumuomba asiache timu sababu tokea amechukua simba imefuzu mara tano robo fainal katika mashindano yote ya CAF
Katika historia ya simba hawajawah kupata mafanikio kama ilivyo kipindi ikiwa chini ya tajiri wa kwanz Tanzania na africa mashariki Mohamed dewji
wamemsihi asisikilize habari za mtandaoni sababu wanaompigia kelele aondoke ni washabiki wa wayanga wanaojifanya mashabiki wa simba, wazee na viongozi wa simba wamemuhakikishia wanamuamini na wataendelea kumsupport