kinjekitile70
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 1,072
- 1,424
Halali ake laana hizoDAAAAAH wewe ni mmbeya wa karne, serikali hii imewekwa madarakani na wapiga kura ukipenda wababe wa kura sio kijana mmoja mwenye GPA below normal ahahahha
Hachomoki [emoji16] kijana wa systemNI MMOJA kati ya vijana waandamizi sana walioiweka madarakani serikali hii
No worry... No fear... Dadi is coming
Karma is bitchNaona umejiunga leo leo ili utupe taarifa ya kudisco kwa jamaa.
Utakuwa mchawi wewe sio bure.
Kijana waccm Yule aliitia wenzake kutiwa na kulazwa polisi mshenzi Yule Broo tuone Sasa , [emoji23][emoji23][emoji23]Kufeli masomo sio kufeli maisha,Cha muhimu asikate tamaa.Nina jamaa yangu alitoka ILIBORU na one ya 3 form Six.Kaja COET /FOE akasoma Electromechanical Eng.Alidisco,ila hakukata tamaa .Akaenda zake kusoma Mzumbe BAF . Sasa hivi yupo zake shirika kubwa sana hapa Tz anafanya kazi na ana miradi kibao.Maisha yake mazuri kuliko hata hao waliomaliza EME.
Kaangukia puawaziri wa kafteria [emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana waccm Yule aliitia wenzake polisi wakapigwa virungu [emoji3] it's his turn nowSioni jambo la ajabu hapo...
Amejiunga Leo jamii ameleta umbea Leo daa huyu kijana ni hatari sanaHahaha malema bhana!! Njoo Political forum kule!! Ni kitambo hujaja kutupa hi