TETESI: Waziri Daruso akalia kuti kavu kuaga chuo (kudisco)

TETESI: Waziri Daruso akalia kuti kavu kuaga chuo (kudisco)

Kufeli masomo sio kufeli maisha,Cha muhimu asikate tamaa.Nina jamaa yangu alitoka ILIBORU na one ya 3 form Six.Kaja COET /FOE akasoma Electromechanical Eng.Alidisco,ila hakukata tamaa .Akaenda zake kusoma Mzumbe BAF . Sasa hivi yupo zake shirika kubwa sana hapa Tz anafanya kazi na ana miradi kibao.Maisha yake mazuri kuliko hata hao waliomaliza EME.
Kijana waccm Yule aliitia wenzake kutiwa na kulazwa polisi mshenzi Yule Broo tuone Sasa , [emoji23][emoji23][emoji23]
 
kama ccm adisco tu..tena ikiwezekana wamsindikize na viboko kutoka apo chuo...(aende mount zion college)
 
Back
Top Bottom