Tetesi ya Harmonize na Wolper Kurudiana kisa Wolper kupost Shulala

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
Harmonize aeleza kuhusu taarifa inayosambaa ya yeye kurudiana na Wolper sio kweli, yeye anachojua ni kwamba wolper anaupenda muziki wake ndio maana kaupost na kushare kwa watu.
Pia ameeleza mpenzi wake anayeishi naye alimuuliza kuhusu hilo akamjibu ni kawaida tu na mpenzi wake aitwaye sarah akamuelewa. kwasasa mpenzi wake ni sarah na anaishi naye kama mke na mume pia hamna mtu kushika simu ya mwenzake izo ni sheria waliyowekeana.

 
Vipi mzee, tu-Subscribe au inakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…