Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Aloo hali tete jini katika chupa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malipo ni hapahapa dunianiSijapenda wananchi hao kufanya hicho kitendo, huo ni utovu wa nidhamu na ni uvunjivu wa sheria za nchi. Hebu fikiria polisi nao waamue kujibu mapigo itakuaje?
Muongo! Najua unataka kutuletea habari za huko za X za uongo? Picha ni ya South Afrika. Kawadanganye nyumbu wenzako huko X.Kasongo mbona wewoo, mobali Nangaa, habari za tetesi huko Katavi inasemekana hivyo Mkuu wa kituo cha POLICE kapigwa kama zote na wananchi wenye hasira Kali na machungu kama yote.
Baada ya uthibisho neno tetesi litaondoka.
Habari ndio hivyo
Pang Fung Mi
Hakuna kitu kama hicho ni uongo tu wa Maria huko XSijapenda wananchi hao kufanya hicho kitendo, huo ni utovu wa nidhamu na ni uvunjivu wa sheria za nchi. Hebu fikiria polisi nao waamue kujibu mapigo itakuaje?
Mam.. ana upiga mwingi😃Kasongo mbona wewoo, mobali Nangaa, habari za tetesi huko Katavi inasemekana hivyo Mkuu wa kituo cha POLICE kapigwa kama zote na wananchi wenye hasira Kali na machungu kama yote.
Baada ya uthibisho neno tetesi litaondoka.
Habari ndio hivyo
Pang Fung Mi
Ni ngumu kutokea hapa Tz kwa OCS kupigwa. Ila huwa najiuliza,. huu moto wa kujihami na visasi ukiwaka nchi nzima, askari waliopo wanatosha kuuzima ?Habari haijashiba nyama
Hujampenda kwakuwa ww ni mnyanyasajiSijapenda wananchi hao kufanya hicho kitendo, huo ni utovu wa nidhamu na ni uvunjifu wa sheria za nchi. Hebu fikiria polisi nao waamue kujibu mapigo itakuaje?
Hii picha ni kama nilishaiona miezi ya huko nyuma, labda kama niliona picha inayofanana na hii.Kasongo mbona wewoo, mobali Nangaa, habari za tetesi huko Katavi inasemekana hivyo Mkuu wa kituo cha POLICE kapigwa kama zote na wananchi wenye hasira Kali na machungu kama yote.
Baada ya uthibisho neno tetesi litaondoka.
Habari ndio hivyo
Pang Fung Mi
KIMEUMANAAAAAKasongo mbona wewoo, mobali Nangaa, habari za tetesi huko Katavi inasemekana hivyo Mkuu wa kituo cha POLICE kapigwa kama zote na wananchi wenye hasira Kali na machungu kama yote.
Baada ya uthibisho neno tetesi litaondoka.
Habari ndio hivyo
Pang Fung Mi