Tetesi: Yanga kutimkia DSTV iwapo Simba watapewa dau kubwa zaidi na Azam

Unknown2

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
2,352
Reaction score
5,055
Thamani za hivi vilabu hazitofautiani sana, wapenzi wake huongezeka au kupungua kulinga na matokeo uwanjani kwa kipindi husika. Kiuhalisia wapenzi wa hivi vilabu ni nusu kwa nusu hivyo basi Simba hawatakiwi kupewa dau kubwa kuliko Yanga. Bahati mbaya inasemekana Yanga ameingizwa cha kike , dau la Simba ni kubwa zaidi na wamefanya kutangaza la Yanga mapema ili kuwaziba mdomo wanajangwani pale dau la Simba litakapotangazwa.

Azam Azam Azam.... Nimewaita mara tatu, mkiwapa dau kubwa Simba sisi wanaYanga tutahamia DSTV. Nasikia DSTV wanataka kupindua meza maana soko lao Tanzania linazidi kudhoofika.

Nawakumbusha tu, kiboko yenu Manji anarudi. Najua mnakumbuka vyema alivyowagomea zile milioni mia zenu. Mkileta unazi tunawakimbia.
 
Yani nyie uto huwa hampendi amani kabisa ni kulalamika lalamika tu hilo deal ndiyo thamani yenu na ukumbuke mshasaini mkataba, kauvunjeni tu. Hampendagi amani kabisa nyie na chokochoko chokochoko na nyie.
 
Subirini mkifika level ya simba ndio mpige kelele, kama vp suseni na nawahakikishia kwa level yenu hakuna tajiri atakaeweka hata nusu ya hela aliyoweka azam, nyie sisawa na mwadui iliyochangamka hamna jipya
 
Utopolo wazee wa malalamiko,kwaiyo simna wakipewa mzigo mkubwa nyinyi Yanga mtasusa!
 
Sioni tatizo, uzuri Yanga waongeze performance uwanjani ili wazidi kukuza biashara, uzuri mkataba unaruhusu marekebisho baada ya muda flani.
 
Thamani za hivi vilabu hazitofautiani sana, wapenzi wake huongezeka au kupungua kulinga na matokeo uwanjani kwa kipindi husika. Kiuhalisia wapenzi wa hivi vilabu ni nusu kwa nusu hivyo basi Simba hawatakiwi kupewa dau kubwa kuliko Yanga. Bahati mbaya inasemekana Yanga ameingizwa cha kike , dau la Simba ni kubwa zaidi na wamefanya kutangaza la Yanga mapema ili kuwaziba mdomo wanajangwani pale dau la Simba litakapotangazwa.

Azam Azam Azam.... Nimewaita mara tatu, mkiwapa dau kubwa Simba sisi wanaYanga tutahamia DSTV. Nasikia DSTV wanataka kupindua meza maana soko lao Tanzania linazidi kudhoofika.

Nawakumbusha tu, kiboko yenu Manji anarudi. Najua mnakumbuka vyema alivyowagomea zile milioni mia zenu. Mkileta unazi tunawakimbia.

Siku utakayopata akili ndiyo utajua kuwa Yanga akivunja Mkataba aliyokwisha kusaidi basi hizo Bilioni 41 atazilipa yeye kuwapa Azam Media.
 
Thamani za hivi vilabu hazitofautiani sana, wapenzi wake huongezeka au kupungua kulinga na matokeo uwanjani kwa kipindi husika. Kiuhalisia wapenzi wa hivi vilabu ni nusu kwa nusu hivyo basi Simba hawatakiwi kupewa dau kubwa kuliko Yanga. Bahati mbaya inasemekana Yanga ameingizwa cha kike , dau la Simba ni kubwa zaidi na wamefanya kutangaza la Yanga mapema ili kuwaziba mdomo wanajangwani pale dau la Simba litakapotangazwa.

Azam Azam Azam.... Nimewaita mara tatu, mkiwapa dau kubwa Simba sisi wanaYanga tutahamia DSTV. Nasikia DSTV wanataka kupindua meza maana soko lao Tanzania linazidi kudhoofika.

Nawakumbusha tu, kiboko yenu Manji anarudi. Najua mnakumbuka vyema alivyowagomea zile milioni mia zenu. Mkileta unazi tunawakimbia.
Azam hawawezi kuingia mikataba na klabu 2

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Thamani za hivi vilabu hazitofautiani sana, wapenzi wake huongezeka au kupungua kulinga na matokeo uwanjani kwa kipindi husika. Kiuhalisia wapenzi wa hivi vilabu ni nusu kwa nusu hivyo basi Simba hawatakiwi kupewa dau kubwa kuliko Yanga. Bahati mbaya inasemekana Yanga ameingizwa cha kike , dau la Simba ni kubwa zaidi na wamefanya kutangaza la Yanga mapema ili kuwaziba mdomo wanajangwani pale dau la Simba litakapotangazwa.

Azam Azam Azam.... Nimewaita mara tatu, mkiwapa dau kubwa Simba sisi wanaYanga tutahamia DSTV. Nasikia DSTV wanataka kupindua meza maana soko lao Tanzania linazidi kudhoofika.

Nawakumbusha tu, kiboko yenu Manji anarudi. Najua mnakumbuka vyema alivyowagomea zile milioni mia zenu. Mkileta unazi tunawakimbia.
Mkuu nenda kwa wapumbavu wenzako huko msimbazi kawaambia mbinu mliyonitima imebuma.
 
Thamani za hivi vilabu hazitofautiani sana, wapenzi wake huongezeka au kupungua kulinga na matokeo uwanjani kwa kipindi husika. Kiuhalisia wapenzi wa hivi vilabu ni nusu kwa nusu hivyo basi Simba hawatakiwi kupewa dau kubwa kuliko Yanga. Bahati mbaya inasemekana Yanga ameingizwa cha kike , dau la Simba ni kubwa zaidi na wamefanya kutangaza la Yanga mapema ili kuwaziba mdomo wanajangwani pale dau la Simba litakapotangazwa.

Azam Azam Azam.... Nimewaita mara tatu, mkiwapa dau kubwa Simba sisi wanaYanga tutahamia DSTV. Nasikia DSTV wanataka kupindua meza maana soko lao Tanzania linazidi kudhoofika.

Nawakumbusha tu, kiboko yenu Manji anarudi. Najua mnakumbuka vyema alivyowagomea zile milioni mia zenu. Mkileta unazi tunawakimbia.
Wewe anakujua nani huko Yanga? Wewe furahia tu matusi ya Mzee Mpili
 
Kasome masharti ya kuvunja mkataba. Sio unapayuka hapa.

Eti thamani ya Simba sawa na Yanga! Huwezi kuwa mzima akilini ukiamini hivyo.

Timu iliyopo rank za juu kabisa CAF unaiwekaje fungu sawa na utopolo.?

Kuwa makini kidogo na uandishi wako.
 
Back
Top Bottom