Tetesi: Yanga kutimkia DSTV iwapo Simba watapewa dau kubwa zaidi na Azam

Tetesi: Yanga kutimkia DSTV iwapo Simba watapewa dau kubwa zaidi na Azam

Thamani za hivi vilabu hazitofautiani sana, wapenzi wake huongezeka au kupungua kulinga na matokeo uwanjani kwa kipindi husika. Kiuhalisia wapenzi wa hivi vilabu ni nusu kwa nusu hivyo basi Simba hawatakiwi kupewa dau kubwa kuliko Yanga. Bahati mbaya inasemekana Yanga ameingizwa cha kike , dau la Simba ni kubwa zaidi na wamefanya kutangaza la Yanga mapema ili kuwaziba mdomo wanajangwani pale dau la Simba litakapotangazwa.

Azam Azam Azam.... Nimewaita mara tatu, mkiwapa dau kubwa Simba sisi wanaYanga tutahamia DSTV. Nasikia DSTV wanataka kupindua meza maana soko lao Tanzania linazidi kudhoofika.

Nawakumbusha tu, kiboko yenu Manji anarudi. Najua mnakumbuka vyema alivyowagomea zile milioni mia zenu. Mkileta unazi tunawakimbia.
Yaan timu ya 13 Africa ije kua na value sawa na timu ambayo hata 100 bora haipo? Au sababu tunatokea wote kariakoo na unajilinganisha nasi?
 
Acha Waende Na Ujinga 😥😣😏🙄😶😑😐
 
DSTV hawana uthubutu wa kuweza kutoa Dollar Milion 22 kwa klabu yeyote ile Afrika Mashariki na Kati. (As per their marketing strategy).

Endleeni kuwaza kuwa ipo siku Yanga SC itarudisha mchongo wa Azam .
 
Siku zote mashabiki wa hii timu ya jangwani uwa ni kama vichaa,asilimia kubwa ni maskini wa fikra na uwezo,kuna tofauti kubwa ya watu wa simba na mijitu ya utopolo hata kimawazo kifikra na uwezo wa kimaisha.
 
Hawa ni manyani tu
FB_IMG_1625214394973.jpg
 
Back
Top Bottom