Tetesi: Yanga kutimkia DSTV iwapo Simba watapewa dau kubwa zaidi na Azam

Yaan timu ya 13 Africa ije kua na value sawa na timu ambayo hata 100 bora haipo? Au sababu tunatokea wote kariakoo na unajilinganisha nasi?
 
Acha Waende Na Ujinga πŸ˜₯πŸ˜£πŸ˜πŸ™„πŸ˜ΆπŸ˜‘πŸ˜
 
DSTV hawana uthubutu wa kuweza kutoa Dollar Milion 22 kwa klabu yeyote ile Afrika Mashariki na Kati. (As per their marketing strategy).

Endleeni kuwaza kuwa ipo siku Yanga SC itarudisha mchongo wa Azam .
 
Siku zote mashabiki wa hii timu ya jangwani uwa ni kama vichaa,asilimia kubwa ni maskini wa fikra na uwezo,kuna tofauti kubwa ya watu wa simba na mijitu ya utopolo hata kimawazo kifikra na uwezo wa kimaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…