Tetesi: Yanga kutoingiza timu uwanjani

Status
Not open for further replies.

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Kuna habari zinaenea kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuwa timu ya Yanga kesho hawatoingia uwanjani kutokana na wachezaji wa timu hiyo kutolipwa mishahara yao ya mwezi uliopita. Hivyo kuna mgomo baridi unaoendelea huko hotelini kwao.

Nitarudi kwa habari za kina zaidi
 
Danganya toto. Hadanganyiki mtu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…