ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,412
- 3,043
Kuna habari zinaenea kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuwa timu ya Yanga kesho hawatoingia uwanjani kutokana na wachezaji wa timu hiyo kutolipwa mishahara yao ya mwezi uliopita. Hivyo kuna mgomo baridi unaoendelea huko hotelini kwao.
Nitarudi kwa habari za kina zaidi
Nitarudi kwa habari za kina zaidi