Baba Mkali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 810
- 813
Kwani Chura Simba anaenda Congo kuuza tako au,maana soka yeye anacheza la matopeni
Hatimaye ile kesi iliyokua ikimkabili Muro ambaye ni msemaji wa Yanga, imetupiliwa mbali na kamati ya maadili ya tff kwa kuwa barua ya vitisho aliyoandikiwa Muro ilikua na mapungufu.
Safi sana Manji. Mwaka huu mpaka malinzi anye rungu.
Basi mpambano kumbe bado unaendelea.......tulia wewe!, hiyo barua ina mapungufu, haikuonesha ni kamati gani iliyomuita kwa ajili ya kumuhoji,so wakirekebisha hilo,Muro lazima apande kizimbani na domo lake!
gents katika ubora Wako WA uongoYule Msemaji Mkorofi na mwenye sifa na majigambo wa Klabu moja Kesho anategemewa kuhukumiwa Kifungo cha kati ya mwaka mmoja ( 1 ) hadi mitatu ( 3 ) ila uwezekano wa kufungiwa kutojihusisha na masuala ya Michezo kwa miaka mitatu ( 3 ) ni mkubwa nikimaanisha 100%.
Akhsante sana TFF japo kitendo hiki au hatua hii kwa wenye kuzingatia nidhamu ya Soka na Maadili yake tunaona kama vile mmechelewa ila kuna kauli ya Waingereza isemayo " better late than never " hivyo basi tunawashukuru kwa hilo.
Wanamichezo wote bila kujali wa Mnyama mnyamani ( Msimbazi ) au wa Chura churani ( Jangwani ) tumelipokea na hiyo Kesho mkishampa Mtu discipline yake mtakuwa mmetufurahisha na kuanzia sasa tutakuwa sasa tunaanza kurudisha imani yetu kwenu.
Jioni njema / Usiku mwema.
Kwanza alipewa nafasi ya kushiriki ndondo cup akaghairi kisa hana timuKwani Chura Simba anaenda Congo kuuza tako au,maana soka yeye anacheza la matopeni
sijui kosa la Yanga ni lipi mpaka simba wanawehuka na kuacha kufanya yao....jamaa wana wivu wa kike aiseeeeKweli simba mambulumundu yaani mtuu mmoja tuu anakosesha usingizi miaka 2???
Mambo ya kupe lenye mashavu dodo hayo. Jitu linakomaa kuongoza wakati uwezo wake ni empty set.Tifu Tifu Bwana na watu wao HAPA jf na HOJA dhaifu ! BARUA moja ANUANI SITA .
kufungiwa kwa msemaji wetu hakitawatoa nyie kimchezo acha wivu Nyiye wamatopeni tu !!!! panga mipango ya mafanikio kwako so umbeya upon!!??Yule Msemaji Mkorofi na mwenye sifa na majigambo wa Klabu moja Kesho anategemewa kuhukumiwa Kifungo cha kati ya mwaka mmoja ( 1 ) hadi mitatu ( 3 ) ila uwezekano wa kufungiwa kutojihusisha na masuala ya Michezo kwa miaka mitatu ( 3 ) ni mkubwa nikimaanisha 100%.
Akhsante sana TFF japo kitendo hiki au hatua hii kwa wenye kuzingatia nidhamu ya Soka na Maadili yake tunaona kama vile mmechelewa ila kuna kauli ya Waingereza isemayo " better late than never " hivyo basi tunawashukuru kwa hilo.
Wanamichezo wote bila kujali wa Mnyama mnyamani ( Msimbazi ) au wa Chura churani ( Jangwani ) tumelipokea na hiyo Kesho mkishampa Mtu discipline yake mtakuwa mmetufurahisha na kuanzia sasa tutakuwa sasa tunaanza kurudisha imani yetu kwenu.
Jioni njema / Usiku mwema.
Hata kama asipotaja kiasi gani ameleta kwa kudhamini kifua cha jezi. Huyu jamaa ametoa pesa nyingi sana kwenye mfuko wa Klabu.Angalia kwenye vifua vya wachezaji wa Yanga, naona wamepata mdhamini mpya. Hivi ni lini Yanga iliingia mkataba na Quality Group? Je kuna mkataba kati ya Yanga na Quality Group au ndo vileee?
[emoji23]Thubutuu labda malinzi hajatoka Jangwani
Mimi taarifa ya kufungiwa tu inanitosha, sina hata haja ya kuona vipengele.Ngoja tusikie hiyo hukumu inavipengele gani na ina uhalali wa kiasi gani ........ mana wao sio ndio ngazi ya mwisho ya maamuzi.