Tetesi za chini chini zilizonifikia muda si punde zinasema......

Tetesi za chini chini zilizonifikia muda si punde zinasema......

atapigwa miezi nane kutojihusisha na soka alizidi kupiga domo sana afu alivyo na kiburi kesho baada ya hukumu anaweza akaongea boko lingine

Aongee mara ngapi Mkuu wakati hivi punde tu katika Taarifa ya Habari ya TBC1 kawapa ultimatum TFF kuwa mpaka Kesho Saa 5 asubuhi wawe wameshamuomba Msamaha vinginevyo anaenda kuupeleka kubaya ( akimaanisha Mahakamani ) mpira wa Tanzania. Tuacheni masihara au mzaha ila nadhani huyu Jamaa kuna " kilevi " anakitumia ambacho hakimtaki au pengine ana matatizo makubwa ya Kisaikolojia yanayohitaji counseling ya kufa Mtu kwani naamini tupo wengi ambao ni " Masela " na " tumedata " kweli ila tunajitambua na kujua kuwa wapi panatakiwa ustaarabu na wapi tujitoe ufahamu. Ipo haja kubwa mno huyu Jamaa akasaidiwa hakyanani!
 
Duh, nimecheka sana na tafsiri yako ya 'mchezo huu hauhitaji hasira'----'this game needs no angry'...safi sana...tehtehtehteh

Ras Simba ana mlima mrefu wa kupanda.
 
hii kwa kuwa imevuja adhabu wanahairisha

Ungesema hii kwakuwa " imeshajulikana " badala ya " kuvuja " huoni kama ingependeza zaidi Mkuu. Vinavyovuja vinajulikana na wenye jukumu lao hilo! Napenda sana Kiswahili sijui kwanini.
 
fa13d4d877b54403c6487c8bdb9e13d0.jpg

😀😀😀😀😀😀😀
 
Malinzi akipata second term itakuwa kuna shda ya akili kwa wapiga kura
 
Wasubiri kwanza chura likaliwe tano huko Congo kisha tumhoji na makamera makubwaaa pale airport sura ikiwa imemshuka. Kudadeki yani!!
 
Hao T.F.F wanazijua kweli kanuni?wanawezaje kumfungia mtu ambae si mwanachama wao bali mwajiriwa wa Yanga?pia kila afanyacho Muro anaiwakilisha Yanga sasa kwa nin wamushtak mtu badala ya kushtak taasisi?
 
Mkuu nimepoteza muda mwingi kufatilia kwenye msafara wa mkuu wa kaya wa Rwanda

Pole sana Mkuu kwa usumbufu ulioupata na siyo Wewe tu kwani mpo kama Watu 100 mpaka 200 hivi nasikia mliojitokeza kwa maeneo yote tuliyopita ili muweze kuniaona ila bahati mbaya sana ratiba za Kiitifaki zilinizidi na huwezi amini sasa hivi ndiyo nimemwacha Bwana Mkubwa ameenda kulala na Mimi ndiyo nipo bafuni naoga huku nachati " kimtindo " nijipumzishe kidogo kwani Saa 11 natakiwa kuwa nipo standby tayari kwa schedule ya mwisho na nadhani saa 6 au saa 8 kesho tunarejea Kigali nchini Rwanda. Kama utaweza au mtaweza kuwahi kuja hapa Serena Hotel mapema kesho saa 1 itapendeza kwani nitavunja kidogo tu Itifaki ili niweze kuonana nanyi na nitafurahi sana. Otherwise tumefurahi mno kuja Tanzania na akhsanteni kwa mapokezi yenu mazuri na ya ukarimu na sasa matatizo na nyie " tumeyazika " rasmi na kuanzia sasa sisi Wanyarwanda na Watanzania si tu marafiki bali sasa ni ndugu na tutashirikiana nanyi ili hata Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliyetupika " afurahi " huko alipo kwani alitupenda sana na alituasa kuwa tusiache kushirikiana na Tanzania kwa lolote na kuwa tukiwa na shida yoyote ile kimbilio letu liwe ni Tanzania. Sijui tuwalipeni nini Watanzania kwa mema na mazuri mliyotufanyia na sisi Wanyarwanda pia tunaomba radhi / msamaha pale popote tulipowakwaza na niseme tu kuwa sasa yote yale yamepita na tusonge mbele kujiletea maendeleo makini na yenye tija.
 
Nahisi ndo kinachosubiriwa na wapenda mpira wote, huyu jamaa kashajiona yeye ndo Mungu mtu kwenye mpira wetu.
Anajiona yupo juu hata ya Malinzi
 
Hivi huyu Genitalmycene ana bwana? je ni muimba mipashooooo,naona hata Hadja koppa cha mtoto,kama unamtaka Jembe Jerry Muro si useme maana kila siku wewe na Jerry,shauri yako mtoto wa town yule,muulize Wage wa Gwami hotels na Kova
 
Angalia kwenye vifua vya wachezaji wa Yanga, naona wamepata mdhamini mpya. Hivi ni lini Yanga iliingia mkataba na Quality Group? Je kuna mkataba kati ya Yanga na Quality Group au ndo vileee?
IMG_0196-1.jpg



IMG_0224.jpg
 
Kwa hilo Malinzi kachemka, huwezi kufunga Mkataba wa Timu husika bila kuwashirikisha wakati wahusika wapo. #Hatutaki kuonewa!
 
Go Jerry Go Jerry naona kelele nyingi wanyoooooshe haooo Jerry
 
Back
Top Bottom