GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atapigwa miezi nane kutojihusisha na soka alizidi kupiga domo sana afu alivyo na kiburi kesho baada ya hukumu anaweza akaongea boko lingine
Duh, nimecheka sana na tafsiri yako ya 'mchezo huu hauhitaji hasira'----'this game needs no angry'...safi sana...tehtehtehteh
hii kwa kuwa imevuja adhabu wanahairisha
Mkuu nimepoteza muda mwingi kufatilia kwenye msafara wa mkuu wa kaya wa Rwanda
Kwani Chura Simba anaenda Congo kuuza tako au,maana soka yeye anacheza la matopeniWasubiri kwanza chura likaliwe tano huko Congo kisha tumhoji na makamera makubwaaa pale airport sura ikiwa imemshuka. Kudadeki yani!!