Tetesi za Harmonize na Kajala kuachana

Tetesi za Harmonize na Kajala kuachana

Broadcast

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
76
Reaction score
285
Mnyetishaji wetu ametupa taarifa za ndani hali sio shwari ndani ya himaya ya konde Gang.

Hii ni baada ya mapenzi motomoto ya boss wa lebo hiyo na mpenzi wake Kajala penzi lao kuingiliwa na ruba
Chanzo cha ku break up inasemekana ni usaliti kati yao

Picha ya kwanza akiwa na pete picha ya pili hakiwa hana peteView attachment 2439849
 
Sielewi kitu.

Lakini kwa haraka haraka.

Kajala na harmonize hapana.

Vijana Angalieni Mbele msidanganywe na hao watu.
Hao watu ni vipofu.
Hawana future.
Ni kumtangaza shetani na kazi zake.
UIBILISI TU.

NDOA TAKATIFU INAUNGANISHWA NA MUNGU MWENYEWE.
NA KUNA VIAPO VYA NDOA.


MMEPOTEA
 
MNyetishaji wetu ametupa taarifa za ndani hali sio shwari ndani ya himaya ya konde Gang..
Hii ni baada ya mapenzi motomoto ya boss wa lebo hiyo na mpenz wake kajala penzi lao kuingiliwa na ruba
Chanzo cha ku break up inasemekana ni usaliti kati yao
Endelea kupumzika kwa Amani warumi.......hamna wa kuziba pengo lako katika uchambuzi wa ubuyu
 
Back
Top Bottom