Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,778
nchi hii bwana!
hata mwehu anatikisa akili za watu, huyu nae vp tena?

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtayabomoa kwa kigezo eti yana mahandaki ya fedha?Jamani eeeeee hatareeeeeee...
Hizi ni zakunyapia nyapia kumbe makanisa ya kiroho yawatu binafsi aka mali za watumishi kumbe sadaka hazikai bank nakile tunakiona bank nikidunchu yakile wanacho kwa maandaki...
Jamani mtonyo huu umezuwa maswali siku chache baada ya kikundi xz kujichimbia mahali kufuwatilia kile kinaendelea kitendo cha makanisa ya kiroho kufungia pesa kwenye mashimo ni dhahiri kuwa wanaweza kuhukumiwa na kosa La Aml yanisheria yautakatishaji pesa....
Why wanazichimbia pesa chini na nikwasababu gani...
Ndio maana mahekalu yao na majumba yao yanalindwa kwa ulinzi mkali kumbe ni kufunika kile wanakifanya mmoja kafunguwa bank lakini kisa cha kufunguwa bank aanajuwa mwenyewe....kila muhumini awe na akaunt pale ili amoniter pesa zao yani wewe Mungu utawachoma watu moto kwa nyukilia... Mungu baba....
Makelele tunasikia ni stail mpya ya kuhakikisha watu hawatakatishi fedha sas haya makanisa yanahisi kiama chao kinakuja...
Kulikuwa na watu wanaingiza dola kinyemela nchini nakuzibadilisha on black market Magu amesha unyaka mtandao...
Wakati wanasema Magu atubu kumbe wanamanisha wao watubu.....
Manina zako..! Mpinga Kristo mkubwa wewe..!Jamani eeeeee hatareeeeeee...

Tutakapo tangaziwa kuwa sarafu zetu zinabadilishwa na tunapewa siku 90 kufanya hivyo na katika kubadilisha huko siyo zaidi ya mil10 kwa mtu mmoja patakuwa na vioja kweli kweli . Ninaamini siku hii haiko mbali maana kwa wale ambao wametoa pesa zao kwenye mzunguko kwa kuzificha nyumbani wanaharibu uchumiJamani eeeeee hatareeeeeee...