Tetesi za Majjizo kuzaa na Salma Msangi

Tetesi za Majjizo kuzaa na Salma Msangi

Kama ni kweli majizzo kazaa na Salma Msangi basi naomba niseme Majizo kashindikana tabia, Maskini Lulu na uzuri wote ule bado mwanaume kaenda kuzaa na mtu mwingine
.
IMG_20190908_051117.jpeg
 
 
Afu watu wamekazana kuwaponda wachaga humu..hahahaha
Anayedhani sijui mapenzi ni specific kabila fulani..mi namuona mshamba tu. Mimi nilipata mtoto mmoja wa kichaga anaitwa Manka. Kwanza ana wezere, pili ana mautundu mpaka kidume nikawa natokwa na lengelenge za machozi kwa utamu. Nilimpa pesa mingi kwa kweli akafungue biashara. Na japo nimesha move on na maisha mengine, ananiheshimu hadi leo nikiomba mtoto hana hiyana.
 
Bila kusahau kila jambo na wakati wake kuna,wakati wa kucheka na wakati wa kulia na wakati wa kapanda na wakati wa kuvuna
 
Gonjwa hili limezua kizaa zaa mzozo gumzo ! Gumzo kwa mabronzo masista duu wazazi walimu na wanafunzi

Yaani limezua kasheshe kazeze ni kazeze

Kitambo Sana bongo fleva ya kitambo hio nahisi walikuwa SOLID GROUND FAMILY

enzi hizo diamond yuko la 7 B
Ni OCG
 
Mkuu Mimi nimelamba Irene enzi anashiriki umiss, sasa kila nikimwambia turudie anabaki ananicheka
Nilimkosaga huyu manzi..Ila enzi hizo Wolper, Jojo fyekelea mbali
 
Kwanza nianze kwa pongezi za dhati kabisa kwa jitihada zilizofanyika mpaka sasa. Pili niulize huyo Msangi ni nani hapa nchini?
 
Back
Top Bottom