Tetesi za Matokeo Kidato cha Nne 2014

Tetesi za Matokeo Kidato cha Nne 2014

iwe isiwe matokeo ni lazma yatatoka tuu...punguza presha
 
vipi dogo mbona unahofu sana? mara nyingi ukiota una one katika matokeo yako ya form four jua una zero vuta subira dogo
 
ndo kwanza tumemaliza kusahihisha wiki iliyopita so matokeo bado sana labda mwezi wa tatu hivi.
 
Dah Wacha nirudi zangu MMU, huku nimepotea jamani maana hata sielewi kabisa....!!!!!
 
Eti wadau ni kweli kuhusu hilo la matokeo ya kidato cha nne kutoka mwez wa kwanz au maneno tuu ya mitandao


Sahau kabisa matokeo kutoka Januari.Usahihisha umekamilika mwezi huu, kunatakiwa kama mwezi na nusu kuyaprocess.ENDELEA NA KOMPYUTA KOZI YAKO MWANANGU.
 
Back
Top Bottom