Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shuleni hamtaki kusoma maisha yamewapiga kitaa mnataka kuiharakisha serikali
duh kweri smart phone zimekuwa cheap sana! qui quiqui
kumbe hata form 4 nao ni thinker??? great or junior?
kumbe hata form 4 nao ni thinker??? great or junior?
vipi dogo mbona unahofu sana? mara nyingi ukiota una one katika matokeo yako ya form four jua una zero vuta subira dogo
vipi dogo mbona unahofu sana? mara nyingi ukiota una one katika matokeo yako ya form four jua una zero vuta subira dogo
hahahahahahahahahahahaha:drama: uharo au uharisho wewe kaa mbali na watu usiowajua, na komeni kuandika whatsupp hapaAcha roho mbaya mkuu kuna form four ni great thinkers kuliko ww unaejiona wachuo