Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
Nilisikia kuwa muhula wa kuingia form 5 unabadilika hivyo kuchelewesha matokeo,haya ngoja tusubiri tuone.
 
nimesikia yanatoka jumatatu<<<< tarehe 28/01/2013 kwa kuwapa nafasi re seaters :A S angry:
 
...daa! Kweli muda wa "kulisit" ni mdogo.
 
ni tar 28 jan mwez 1kabla ya muda wakujiandikisha bila adhabu kwisha
 
Jamani cku zinaisha na hata tetesi za matokeo hakuna sasa tutajuaje?
 
kwa hiyo watakao faulu kwenda kidato cha tano 2013 watachelewa kuanza masomo
 
Nyie madogo presha za nini bado mapema tokeo linatoka mwezi wa 5 mtaobahatika advance mtakuja mwezi wa 7, so tulizeni wenge
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom