Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
Shortly niko UDSM 3rd year na nina GPA ya 4.2 kwa sasa,A-level nimesomea pale Milambo High School ilyopo Tabora na nikapata Division 2 ya 10.
Nadhani umenipata.

akili ya darasani ni tofauti na akili ya mtaani,,,,,
 
Shortly niko UDSM 3rd year na nina GPA ya 4.2 kwa sasa,A-level nimesomea pale Milambo High School ilyopo Tabora na nikapata Division 2 ya 10.
Nadhani umenipata.

we Hyper acha ujinga bado xana hata hujafikia kuwa great thinker
 
Shortly niko UDSM 3rd year na nina GPA ya 4.2 kwa sasa,A-level nimesomea pale Milambo High School ilyopo Tabora na nikapata Division 2 ya 10.
Nadhani umenipata.

mkuu nadhani elimu yako ni ya darasani tu, na ukiona hivyo ni hatari ni bora utafute cherehani uanze kushona
 
Nyie makinda wa O-level jukwaa hili sio saizi yenu,hamjapata hata mwelekeo wa maisha yenu mnakomaa na Jf usiku kucha.
Ndiyo maana mnaboronga hata ktk mitihani yenu.looh yaani O-level unashupaza shingo yako kwenye jukwaa la G'thinker,
nyambafu
Someni acheni upuuzi

nahisi ww ni kichaa ujielewi na hujui maana jf unakurupuka kutuma post ili watu wakusapot!!! Fikiria kwanz kabla kupost uku jf
 
nimesikia leo ndo yanatangazwa so wanafunz kaeni mkao wa kuvuna ulichopanda
 
leo tym ya sir kumi yatakuwa hewan cha mcng ni subira mapema o~level tafuten namba za shule zenu na namba zenu.........!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom