MwanazuoniMJ
Member
- Nov 28, 2012
- 66
- 30
matokeo yatatoka kama kawaida ila postings ndo zitachelewa.Nilisikia kuwa muhula wa kuingia form 5 unabadilika hivyo kuchelewesha matokeo,haya ngoja tusubiri tuone.
...daa! Kweli muda wa "kulisit" ni mdogo.
Nasikia mwezi wa Saba..
ni tar 28 jan mwez 1kabla ya muda wakujiandikisha bila adhabu kwisha