Tetesi za penzi jipya la Irene Uwoya na Dogo Janja zawa gumzo mtandaoni

[emoji38] [emoji38][emoji85] mzee tola bana!
 
Anaweza akawa dogo, Lakini akawa anamridhisha kuliko hao wakubwa.
Penzi halichagui umri

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
Umalaya umekuwa fasheni kwa bongo muvi
Muvi kwisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Madanga kipindi hiki yamekua adimu so inabidi wabongo movie wajiangushe kwa madogo tuu
 
Kwa nini asiolewe huyo dada anahangaika leo huku kesho kule,atazeeka akitanga tanga tu
 
Janjaro umeamua kuogeleaaaa kabsaaa

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…