figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Tayari washaanza kushuka mbona? Si unaona wamemgomea vikao vya chama? Mgomo mkubwa. Tusubiri tuone iinakuaaje then tutapanda tenaFigga kwema? Vipi twende mlimani na chetezo?
Mbona Polepole kasema yuko pekee yake??Salaam Wakuu,
Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.
Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.
Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.
Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.
Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.
Ulitaka asemeje? Una miaka mingapi?Mbona Polepole kasema yuko pekee yake??
Au siku hizi umekuwa mganga wa kienyeji??
Waandae na ndege kabisa za kuwatorosha wao na familia zao.Nimesikia wale watoto pendwa wa mama Abdul ndani ya serikali wameanza kuhamisha pesa nje ya nchi kwa maandalizi ya makazi yao mapya.
Hiyo Mia alikuwa anaandika sana mwaka 2011,2013 πππ
Mkuu hili mbona tulipinga sana kipindi yeye analazimisha ila wajinga ''wakashinda''? Kumbe alikuwa na maana yakeNi kweli Hii sio Awamu ya SITA maana Aliye madarakani alirithi madaraka ya awamu ya tano