Tetesi za Polepole kupewa uongozi wa Juu Nchini

Mda utaamua,Haina haja ya maneno mengi lolote linawezekana maana wamejificha tuu kwenye huo utaratibu lakini ishu yao hapa ni Uzanzibar
 
Ulitaka asemeje? Una miaka mingapi?

Unaweza kumuambia adui yako silaha unazotegemea?
Nitakupa mfano unaoufahamu vizuri sana. Russia na Ukraine kila leo washirika (Allies) wanatangaza kuwa Ukraine tutampa Silaha hizi. Na yeye Russia anatangaza mimi nina nukes hatari na intercontinental balaa. Kwa hiyo hoja yako ya kuficha silaha haina mashiko kama unatumia scenario ya vita.

Kinachokufanya ushinde vita ni "tactical" siyo wingi wa silaha. Mfano mzuri ni Russia ana silaha kibao na wanajeshi wengi lakini kashinda vita???

Hoja ya pili nilitaka asemaje?. Nilitaka aseme kuwa nina wenzangu nyuma yangu hatutaruhusu wahuni blablablaaaa. Sasa yeye kasema yuko pekee yake na kasema yeye ni mtu wa mungu hataki uongo anataka kwenda mbinguni. Kwa hiyo sisi tunaamini aliyosema Polepole siyo ya kwako.
 
Hatutaki kutawaliwa na ka nchi kadogo kama kata ya Mchafukoge
 
Mgambo mnaruka na kukanyagana .......aaaaaa mnanchekaa
 

Kwa hakika amekamilika, ni mzalendo ana ufahamu, ana msimamo na anafaa!
 
Itokee bahati mbaya wahuni kama kina Polepole na wanaowatuma basi makundi yafuatayo yatakula hasara sana
1.Wakula
2.Wafanyabiashara
3.Wafanyakazi(Watumishi wa Umma)
4.Chadomo.

Watakaofaidi Sasa ni machawa wao na wazee wa propaganda ila Uchumi ni most likely utaporomoka maana hao watu watajali zaidi kufanya wajinga.kuwa maskini huku wao wakitukuzwa.
 
Unabii unasema,wamepanga kumpa Nafasi ya Nabii Musa aliyelala kabla ya kuifikisha familia nchi ya ahadi.
 
Nimesikia wale watoto pendwa wa mama Abdul ndani ya serikali wameanza kuhamisha pesa nje ya nchi kwa maandalizi ya makazi yao mapya.
No reforms no election
Shikilia hapo hapo. Ongeza kuminyaaaaa. Minyaaaaa
No reforms no election
Minya jipu hadi usaha wote utoke. Minya kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…