Tetesi za Polepole kupewa uongozi wa Juu Nchini

Nimesikia wale watoto pendwa wa mama Abdul ndani ya serikali wameanza kuhamisha pesa nje ya nchi kwa maandalizi ya makazi yao mapya.
Namshukuru Kassim Majaliwa kwa kujitenga na Wahuni.. Abdul Mtu mdogo.. Hela za Watanzania zote zinarudi.. Abdul aliwahada CHAUMA kuwapa hela na hiki kinaweza kuwa kifo cha chauma. Siwezi sema kifo balli itarudi ilipokuwa. Abdul hana access tena
 
Sasa hapo Slopole katajwa wapi?
 
Kaka Choice naona kipindi chako cha kunemeka kinaelekea ukingoni. Kama hunaridhika basi
 
Ugomvi wa Pole Pole na Kina sisi ni Watu wanataka Mambo yaanze upya kwa utaratbu na kanuni na desturi.

Awamu ya 5 imeisha, tuanze Awamu ya 6 upyaa kufata taratbu zinasemaje,kanuni na miongozo.

Walichomtibua Pole Pole ni kuruka miongozo na Kusema NDIOOOOO NDIOOOOO kama wabunge wakiwa Bungeni.

Wanataka Mgombea Awe mmoja na bora awe mmoja kwa wengine kushindwa ila ni mmoja kwasababu wengine hawakupewa hata nafasi yani FOMU ya ugombea imetoka 1 tu, hapo ndo walipomshika Pole Pole VUZI akawa ana wa zooom.

Ndani ya CCM kuna MAKUNDI kuna Team Mama/Wahuni halafu kuna Team Kanuni

Team Kanuni ndio hawataki kupelekwa pelekwa wanataka Utaratibu na Protokali zifatwe.

Hawa hawataki kuona Mtu anabaki kwenye nafasi bila kuwa na vigezo na wakati Team Wahuni/Mama wao wanataka kuendelea na baadhi ya nafasi kibabe wazishikilie kibabe waziendeleze wasipingwe.

Ngojea Tuone Team ipi itaibuka na ushindi.

Kwa CCM walivyo team zote zitaibuka ushindi na wote walio Against Team Mama watakula MASHAVU MASHAVU MASHAVU

YANI hapa ndo pesa itapoonekana ina maana maana naona watu watavyonyamazishwa kwa kupewa Mihela na mishavu hakuna njia ya kunyamazisha team kanuni zaidi ya PESA na Kumegewa keki ya TAIFA.
 
Unaleta hadithi katika mambo muhimu acha Ujinga ujuaji ukizidi sana unakuwa zuzu

Wewe ulitaka slow slow ataje Aliopo nao what if kati ya hao wahusika ni Kwa Upande mwingine ni washirika wa kuu nmwa head of state hauoni kuwa itawafanya maadui wa pole pole wapate kuwabaini maadui zao mapema !?
 
Wanadai Rais akifa na awamu.yake inaisha kwa hiyo awamu ya tano haipo tena
Hizo ni sheria za msituni mbona, yaani chama kikongwe kama CCM kilichonyumbulika kutoka TANU na sisi wengine tumeshuhudia kuzaliwa na makuzi yake, leo kinakuja kufundishwa Demokracji na CHADEMA? 😲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…