figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
-
- #141
Ndo nachosema ujifunze. Usiwe mwepesi wa mtu kukutoa kwenye hata kwenye maisha ya kawaida. Tumia mitandao kujifunza kupuuza baadhi ya vitu na kudhibiti hasira zako hata kwenye maisha ya kawaaida uraiani. Sio kila kitu lazima ulipize, utashindwa kuishi kama binadamuSawa hujafurahia ila matusi yake kwangu uliyafurahia. You better keep quiet
Salaam Wakuu,
Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.
Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.
Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.
Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.
Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.
Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.
Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu Tanzania ni yetu sote.
View attachment 3410995
Balozi Humphrey Herson Polepole
Heri tuanze upya kuliko kuendelea na hawa wahuni ambao kutoa maoni yetu tu wanasema ni uhaini
Usimalize manenoUtabiri wa marehemu shekhe yahya unaenda kutimia, safari ya mkoloni kaburu toka Zanzibar imewadia
Kama rais alikufa, kwanini atuitisha uchaguzi upya badala yake makamu akapanda juu?Wanadai Rais akifa na awamu.yake inaisha kwa hiyo awamu ya tano haipo tena
Katiba ndio inavyosema rais akifariki au akishindwa kufanya kazi zake kwa sababu mbalimbali basi Makamu wake ndie anachukua kijitiKama rais alikufa, kwanini atuitisha uchaguzi upya badala yake makamu akapanda juu?
Siyo uzanzibar,ni mchanganyiko wa udini,ulafi wa madarakaMda utaamua,Haina haja ya maneno mengi lolote linawezekana maana wamejificha tuu kwenye huo utaratibu lakini ishu yao hapa ni Uzanzibar
Mambo Mrembo...nimependa hizo chuchu...Mnatuchosha jamani. Yan wanaume wote mmeshindwa kufanya jambo mkapindua meza katiba Ikafwatwa?
hivi hakuna namna ya kudakwa kabla hawajatekeleza hilo?Nimesikia wale watoto pendwa wa mama Abdul ndani ya serikali wameanza kuhamisha pesa nje ya nchi kwa maandalizi ya makazi yao mapya.
Lazima wakimbizeNimesikia wale watoto pendwa wa mama Abdul ndani ya serikali wameanza kuhamisha pesa nje ya nchi kwa maandalizi ya makazi yao mapya.
Ni kweli hii ni awamu ya tano kipindi cha pili.Salaam Wakuu,
Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.
Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.
Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.
Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.
Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.
Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.
Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu Tanzania ni yetu sote.
View attachment 3410995
Balozi Humphrey Herson Polepole
Sawa! Je, awamu pia inabadilika?Katiba ndio inavyosema rais akifariki au akishindwa kufanya kazi zake kwa sababu mbalimbali basi Makamu wake ndie anachukua kijiti