Tetesi za usajili klabu ya Arsenal

Tetesi za usajili klabu ya Arsenal

Odillo255

Member
Joined
May 25, 2015
Posts
12
Reaction score
0
Plz naomba mnijuze,eti ni kweli arturo vidal na jackson martinez wamesha sign pree contract kwa klabu ya arsenal???? Nisaidieni mi sijui
 
Huyu babu yenu Wenger alivyo mbahiri atoe fweza yote hiyo?,maana price tag ya Vidal kama 40$M,Martinez kama 30$M..
 
Mods, hamisha hii kitu unganisha kwenye uzi wa assnal kule. Wanatujazia seva na siredi zisizo na mashiko tu hawa. Kwanza timu yenyewe haishindagi kitu chochote!
 
Back
Top Bottom