Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Simba kupitia kwa semaji lake ahmed ally, amesema kwamba kuna usajili unakuja nchi itatikisika na mitandao itazima, ni usajili upi huo?
 
Simba kupitia kwa semaji lake ahmed ally, amesema kwamba kuna usajili unakuja nchi itatikisika na mitandao itazima, ni usajili upi huo?
Anasema leo kutakua na sajili 3, 1 tayari, bado 2,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…