Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
Kwani yupo bado benchi la ufundi tenaAtatoka Simba Kwa kufukuzwa labda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani yupo bado benchi la ufundi tenaAtatoka Simba Kwa kufukuzwa labda
[emoji23][emoji706]Ni kweli mkuu, akichezaga dhidi ya Simba anakichafua sana.
Leo mashine mtoa roho, sjui atakua nani..Hatimaye makocha wa Simba watatambulishwa leo saa mbili kama nilivyoripoti
MpanzuLeo mashine mtoa roho, sjui atakua nani..
Kagoma YusuphLeo mashine mtoa roho, sjui atakua nani..
AugustineKagoma Yusuph
Ligi ianzeAugustine Okejepha ni Simba
Hahaha..mtoa roho ni mnaijaMpanzu
Hahaha tunae ama hatunae..jibu lako naliamini mkuu..Ila Awesu
.Hahaha tunae ama hatunae..jibu lako naliamini mkuu..
[emoji3] sawa
Ok, naskia mayele yupo kwenye mpango wa simba, ni kweli?
MpanzuSimba kupitia kwa semaji lake ahmed ally, amesema kwamba kuna usajili unakuja nchi itatikisika na mitandao itazima, ni usajili upi huo?
Anasema leo kutakua na sajili 3, 1 tayari, bado 2,Simba kupitia kwa semaji lake ahmed ally, amesema kwamba kuna usajili unakuja nchi itatikisika na mitandao itazima, ni usajili upi huo?
Siyo kweliOk, naskia mayele yupo kwenye mpango wa simba, ni kweli?
Bado Debora na EliaAnasema leo kutakua na sajili 3, 1 tayari, bado 2,