Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Mbaya zaidi tetesi kwa Mpanzu zinasemwa Azam na Singida walishapeleka ofa zao moja kwa moja kwa klabu yake - AS Vita. Azam wao watakuwa wanamhitaji wao wenyewe kama wao ila hao wengine itakuwa ni daraja la kumsogeza wamwangalie msimu wake mmoja kama ata "click" basi itakuwa wanamsogeza Jangwani tu kama wanasukuma mlevi. Kwa viongozi wa Simba wasizichukulie poa hizo tetesi wasije wakakuta zina ukweli wakaambulia manyoya maana lisemwalo lipo.
 
.
 
Hata wewe kama una dread usiite msimbazi. Watakuteka na kukisajili kwa nguvu. Jamaa wamepaniki kuondoka kwa chama, sasa wanaokatiza kila anayepita mbele yao.
Chama aliyeondoka ni yule aliyeenda barkane, huyu wa aliyeondoka sasa hana tofauti na Zawadi Mauya
 
Mchezaji wa anaejitambua kama Mpanzu hawezi kukubali kutoka vita kwenda Singida hata kwenda Azam ambako hawana uhakika wa makundi kwenye michuano ya kimtaifa, mpanzu akienda hizo timu atakua anajirudiasha nyuma
 
SBS wanatoa wapi fedha za kusajili wachezaji wenye majina makubwa?
 
Mkuu simba wamemshindwa elias mpanzu?
 
Sijajua wewe ni nani ila kwa orodha yako tu hii inakupa maua yako, kongole sana

Hizi ndio zile za ndaani tunazotaka kuzisikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…