Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Uwezekano wa Mpanzu kutua dirisha hili ni mdogo. Jamaa wanaofanya uhuni. Ikifika Jumanne mambo hayaeleweki basi Simba itasubiri dirisha dogo ili impate kama free agent. Kramo anapambana abakishwe ila ni ngumu, Onana anarudi kuelekea kambini Misri
 
Duuuuuh kuna watu wanazidi kuzibinya makende yao
 
Kama nilivyoripoti hapo awali, CEO wa Simba bwana Imman Kajula anaweza kuondoka Simba SC baada ya Simba day. Francois Regis kutoka Rwanda anaweza kuchukua nafasi yake
Rwanda tena?🦍🦍
 
Abdulmajid Yahya Mangalo anaweza kutua Yanga kuziba nafasi ya Gift Fred anayetakiwa kumpisha Jean Baleke
 
Usajili wa Yanga safari hii kama sijauelewa kabisa Acha ligi ianze tuone kinachoenda kujili
Yanga wana boresha kikosi, first eleven yao yote ya msimu uliopita nasikia wameibakiza. Huku wakifanya maboresho maeneo kadhaa. Ila ni kawaida sana kwa Yanga kuonekana wamesajili ovyo ila msimu ukianza mambo yanakuwa wazi sasa. Msimu uliopita hakuna timu iliyobezwa kwa kusajili ovyo kama Yanga huku ikitolewa kwenye top 2.
 
Back
Top Bottom