Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
Hivi wanavyosaliti timu hivyo, hua wanapewa shilingi ngapi ambazo hawapewi timu walizopo je ni milioni Labda 500, na kuendelea, mana najiuliza utaweza kwel kusaliti timu kisa labda milioni 20 ama 50Mkopo hasa ili waendelee kummonitor