- Thread starter
- #881
Uwezekano wa Mpanzu kutua dirisha hili ni mdogo. Jamaa wanaofanya uhuni. Ikifika Jumanne mambo hayaeleweki basi Simba itasubiri dirisha dogo ili impate kama free agent. Kramo anapambana abakishwe ila ni ngumu, Onana anarudi kuelekea kambini Misri