Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Hadi Sasa Simba ina wachezaji wa kigeni wafuatao:
1. Ayoub Lakred
2. Nourmah
3. Malone Fondoh
4. Chernou Kaboue
5. Augustine Okejepha
6. Jean Ahour
7. Steven Mukwala
8. Joshua Mutale
9. Elie Mpanzu
10. Fabrice Ngoma
11. Freddy Michael
12. Saido Kanoute
13.Babakar Sarr
14. Pa Omar Jobe
15. Aubin Kramo
16. Mosses Phiri
17. Esomba Onana

N.B: Jobe ataondoka, Phiri aataondoka, Kramo ataondoka, Babacar au Kanoute mmojawapo ataondoka
 
Kanoute abaki babacar bye bye
 
Wanatakiwa wakigeni wasizidi wangapi?
 
Wote Kanoute na Babacarr wanaondoka kumpisha Deborah Fernandozy
 
Idumba Fasika hatajiunga n Simba SC baada ya kufeli vipimo vya afya
Simeni ukweli tu hamuna pesa ya kumsajili Fasika, hayo mambo ya kufeli vipimo ni kujitekenya kisha unacheka mwenyewe!
 
Subiri voda watakuelekeza wakishamaliza mkutano wao na mangungu.
 
Simeni ukweli tu hamuna pesa ya kumsajili Fasika, hayo mambo ya kufeli vipimo ni kujitekenya kisha unacheka mwenyewe!
Fasika alipata ACL tear akakaa nje kwa msimu mzima tangu October 2022 hadi June 2023 alipopona walimtoa kwa Mkopo Norway akapata injury nyingine huko huwezi kusajili mchezaji wa namna hiyo.

Kabla ya injury Cape Town City walikuwa wanamuuza kwa Dollar 800k
 
Uko sahihi bro
 
Back
Top Bottom